19 Sep 2025 11:16 am | Citizen TV 6,437 views Duration: 1:47 Vijana 18 wameokolewa baada ya mashua yao kwa jina Aljazira kuzama baharini eneo la Manda kaunti ya Lamu.