Vijana hawa wenye ulemavu wa kusikia waliofunga ndoa

  • | BBC Swahili
    419 views
    Hillary na mkewe, Apasiana ambao wotewana ulemavu wa kusikia walivutia wengi kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka hadharani mapenzi yao kwa kufunga pingu za maisha takribani miaka miwili sasa. Mwandishi wa BBC, Alfred Lasteck alitembelea familia hiyo inayoishi mkoani Kilimanjaro na kuandaa taarifa hii. Mkalimani wa lugha ya alama ni Hujat Ndossi pamoja na Hajra Mohamed. 🎥Eagan Salla #bbcswahili #tanzania #kilimanjaro