Skip to main content
Skip to main content

Vijana Kajiado wataka vyama vya kisiasa kufanya chaguzi za haki

  • | Citizen TV
    335 views
    Duration: 3:36
    Huku Vyama vya Kisiasa vikiendelea kujiandaa kuwachagua viongozi mbalimbali watakaopeperusha bendera zao kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, Vijana kutoka kaunti ya kajiado wametaka vyama hivyo kuhakikisha uteuzi huo ni wa haki.