Vijana katika kaunti ya Kilifi waitaka serikali iwasaidie katika kuanzisha biashara

  • | TV 47
    16 views

    Vijana kutoka Kaunti ya Kilifi wameitaka serikali kuwapiga jeki katika biashara zao kwa kulegeza ushuru ili kuwezesha biashara na talanta zao.

    Bishara hizo zinakumbwa na changamoto ya ushuru iliyo juu.

    Ufisadi umekithiri katika sekta ya biashara.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __