16 Sep 2025 10:15 am | Citizen TV 244 views Duration: 1:44 Baadhi ya vijana kutoka kaunti ya Nyamira wameendeleza shinikizo lao kwa tume ya kupambana na ufisadi nchini, kumchunguza na kumtia mbaroni gavana wa kaunti hiyo