Vijana kutoka Sirende kaunti ya Trans Nzoia wawataka wanasiasa kutimiza ahadi walizowapa

  • | Citizen TV
    831 views

    Viongozi wa vijana katika wadi ya Sirende kaunti ya Trans Nzoia wamejitokeza kuelezea msimamo wao wa kushinikiza wanasiasa eneo hilo kufanya maendeleo na kutimiza ahadi walizotoa wakati wa kampeni.