Vijana Kwale wafadhiliwa kulinda mazingira

  • | Citizen TV
    130 views

    Vikundi viwili vya vijana katika eneo la Waa/Ng'ombeni kaunti ya Kwale vimepata ruzuku ya miaka mitatu kuhamasisha umma kuhusiana na udhibiti wa taka mijini na baharini na ukulima wa bustani ili kukabili mabadiliko ya hali hewa.