Skip to main content
Skip to main content

Vijana matatani Afrika Mashariki kwa matumizi ya mitandao

  • | BBC Swahili
    6,003 views
    Duration: 56s
    Watumiaji wanne wa mtandao wa TikTok nchini Somalia wamekamatwa kwa kudaiwa kumdhihaki Rais wa nchi hiyo – Hassan Sheikh Mohamud. Tukio hili linakumbusha visa vingine kadhaa katika ukanda wa Afrika Mashariki Sasa je, ni sahihi kwa serikali katika baadhi ya mataifa kuchukua hatua kali kama hizi? Tunalijadili hili mwendo wa saa tatu kamili katika Dira ya Dunia na Elizabeth Kazibure. Unaweza kufuatilia matangazo haya mubashara katika mitandao yetu ya youtube na facebook ya bbcswahili. #bbcswahili #uganda #afrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw