Vijana wa eneo la Shibale Mumias Mashariki wanakerwa na mwelekeo wa Gavana wa Kakamega

  • | West TV
    172 views
    Vijana wenye hamaki mjini mumias eneo la shibale mapema jumatatu hii wameshiriki maandamano ya amani muda mchache tu kabla ya mkutano uliokuwa umeandaliwa na gavana wa kaunti hiyo fernandes barasa wa kuzindua baadhi ya miradi katika mji huo, wakikashifu uongozi wa kaunti hiyo kwa madai ya kutengwa katika nafasi za ajira