20 Jul 2026 1:09 pm | Citizen TV 281 views Duration: 1:55 Vijana wa Kaunti ya Lamu wameitaka serikali kuendeleza juhudi za kuimarisha usalama, wakisema kuwa amani ni msingi wa maendeleo ya eneo hilo.