- 48 viewsDuration: 4:08Vijana wa kurandaranda mitaani mara nyingi huhusishwa na utovu wa usalama na matumizi wa mihadarati mijini. Ila huko Kisii vijana hao wamejifunza kuendesha magari na sasa wanafanya kazi ya kubeba na kusafirisha mizigo. Hii ikiwa mojawapo ya njia za kuhakikisha wanatoka mitaani na kujikimu kimaisha.