- 11,357 viewsDuration: 1:27Wakati Uganda ikielekea kuanda uchaguzi mkuu mwezi huu, vijana nchini humo wametoa wito kwa wanaowania nyadihfa mbalimbali nchini humo kuhakikisha wanatimiza ahadi zao kwa vijana. Nchi hiyo ya Afrika Mashariki ni mojawapo ya mataifa yenye idadi kubwa zaidi ya vijana duniani. @shuayib.ibrahim na maelezo zaidi #bbcswahili #uganda #uchaguzimkuu2026 #siasa #bobiwine #Museveni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw