1 Oct 2025 10:48 am | Citizen TV 89 views Duration: 1:59 Vijana Katika Kaunti ya Kirinyaga wamehimizwa kuchukua fursa zilizopo katika miradi ya kilimo, ili kujitegemea kiuchumi badala ya kusubiri kuajiriwa.