18 Sep 2025 1:56 pm | Citizen TV 56 views Duration: 1:34 Makumi ya vijana kutoka maeneo ya Githunguri kaunti ya Kiambu wameelezea matumaini yao kuhusu mradi wa serikali wa elimu ya mitandao wakisema utawawezesha kujiajiri.