Skip to main content
Skip to main content

Vijana wafunzwa kutumia teknolojia ili kujisaidia Nyahururu

  • | Citizen TV
    152 views
    Duration: 2:08
    Wazazi wamepewa changamoto ya kujifunza na kukumbatia maendeleo ya kiteknolojia ili waweze kuwasaidia watoto wao kuitumia kwa busara. Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Nyahururu limeanzisha programu ya vijana inayokusudiwa kuwawezesha kutumia teknolojia kwa manufaa yao.