Skip to main content
Skip to main content

Vijana wafunzwa ujasiriamali ili kujiendeleza kiuchumi Busia

  • | Citizen TV
    56 views
    Duration: 4:12
    Vijana zaidi ya mia nne kutoka familia maskini kaunti ya Busia wanatarajiwa kunufaika chini ya mradi wa serikali wa nafasi za kujiendeleza, maarufu, Nyota. Vijana kutoka maeneo bunge yote nane ya Busia wameanza kupewa mafunzo maalum ya ujasiriamali