Vijana wafurika kwenye zoezi la usajili wa KDF

  • | Citizen TV
    5,553 views

    Maelfu ya vijana walijitokeza katika kambi ya jeshi ya Embakasi hapa Nairobi kujaribu bahati yao kupata ajira za kujiunga na idara ya jeshi. Vijana hawa waliokamilisha masomo yao katika idara ya nys wakijitokeza kung'ang'ania nafasi zipatazo 350 za kazi