Vijana wahimizwa kijuinga na vyuo vya kiufundi nchini

  • | Citizen TV
    191 views

    Taifa linapoadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwa masomo ya vyuo vya kiufundi nchini, vijana wanazidi kuhimizwa kukumbatia kozi za mikono ili kupiga jeki uchumi wa kitaifa. Mwanahabari wetu Chrispine Otieno ametangamana na washikadau katika chuo cha kitaifa cha mafunzo anuai cha kisii wakielezea hatua ambazo zimepigwa katika sekta hiyo nchini.