Vijana wahimizwa kujiamini ili kukabiliana na ukosefu wa ajira

  • | KBC Video
    11 views

    Huku vijana wa humu nchini wakikabiliwa na tatizo la nafasi finyu za ajira huku kukiwa na changamoto za kiuchumi, mpango wa kubadili fikra hiyo sasa umeanza kuleta mabadiliko. Mpango huo kwa jina Wembesha na Bic, sasa uko katika mwaka a pili na umefanikiwa kushirikiana na wadau wa elimu kama vile Bic East Africa kuwawezesha vijana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive