7 Oct 2025 10:40 am | Citizen TV 184 views Duration: 1:24 Jaji Mkuu wa zamani, David Maraga ameitaka serikali kuwaheshimu na kuwalipa wafanyakazi wa vyuo vikuu, wanaoendelea na mgomo wiki ya nne sasa kutokana na kutotekelezwa kwa makubaliano ya kazi ya mwaka 2021-2025.