Skip to main content
Skip to main content

Vijana wahimizwa kujisajili kwa mpango wa NYOTA

  • | KBC Video
    222 views
    Duration: 4:48
    Takriban vijana 3,150 katika Kaunti ya Kisii wanatazamiwa kunufaika na mpango wa Kitaifa wa kutoa fursa za kujiendeleza kwa vijana almaarufu -NYOTA. Katibu anayehusika na maswala ya utangazaji na mawasiliano ya simu Stephen Isaboke ambaye aliongoza shughuli ya uhamasishaji katika kaunti hiyo aliwataka vijana kujiandikisha kwa wingi katika mpango huo kama njia ya kuwawezesha kiuchumi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News