Vijana wahimizwa kukuza talanta zao ili kujitengenezea ajira

  • | KBC Video
    5 views

    Vijana humu nchini wamehimizwa kukuza talanta zao kama njia ya kujitengenezea ajira, katika kipindi hiki ambacho vijana wengi humu nchini wanakabiliwa na ukosefu wa ajira. Wakati wa maonesho ya talanta katika wadi ya Kiganjo, maafisa wa serikali waliozungumza walitoa wito kwa vijana kujinufaisha na fursa zinazotolewa na serikali ambazo zimebuniwa ili kuwasadia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive