Skip to main content
Skip to main content

Vijana wahimizwa kusimama kidete katika kukabiliana na ufisadi

  • | KBC Video
    140 views
    Duration: 4:02
    Vijana wamehimizwa kusimama kidete katika kukabiliana na ufisadi. Waziri wa masuala ya vijana Salim Mvurya na mwenyekiti wa tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi EACC David Oginde wamesema, ikiwa hautadhibitiwa, mustakabali wa vijana ambao ni idadi kubwa ya watu utakuwa hatarini. Walizungumza wakati wa kuadhimisha siku ya kimataifa ya kukabiliana na ufisadi katika jumba la mikutano ya kimataifa la KICC chini ya kaulimbiu ya kuungana na vijana dhidi ya ufisadi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive