Vijana waisuta DCI kwa kuhujumu uhuru wa wananchi

  • | Citizen TV
    441 views

    Vijana katika kaunti ya Pokot Magharibi wanawataka viongozi katika eneo hilo kujihusisha pakubwa na miradi inayolenga kubadili maisha ya wakazi wa eneo hilo huku wakiwasuta baadhi ya viongozi hao kwa madai ya kuwatumia maafisa wa DCI kuwachunguza wale ambao huwakosoa.