Vijana wameripotiwa kuendeleza visa vya uhalifu Lamu

  • | Citizen TV
    447 views

    Vijana kutoka Kisiwa cha Pate eneo bunge la Lamu mashariki wanashirikishwa kwenye mechi za soka ili kusaidia kupunguza visa vya uhalifu eneo hili.