Vijana wanasema watafanya maandamano hapo kesho

  • | Citizen TV
    3,110 views

    Kizaazaa kimeshuhudiwa katikati ya jiji la nbi wakati vijana walipokuwa wakiandamana kwa maandalizi ya maandamano mengine yaliyopangwa hapo kesho. Vijana hawa sasa wakisema wanaandamana kesho kuadhimisha miaka 14 ya katiba ambayo wanasema serikali ya sasa imeendelea kuikiuka.