19 Sep 2025 1:42 pm | Citizen TV 417 views Duration: 1:48 Jumla ya vijana 1,096 Katika kaunti ya Bungoma wamenufaika na mradi wa serikali wa Nyota unaotoa ruzuku kwao kujijenga kibiashara.