Vijana washauriwa kujiepusha na mimba za mapema west Pokot

  • | Citizen TV
    196 views

    Kampeni za kuwahamasisha vijana kuhusu mbinu za kupanga uzazi na kujiepusha na mimba za mapema zimeshika kasi katika kaunti ya west pokot huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya kupanga uzazi