Skip to main content
Skip to main content

Vijana washauriwa kutafuta ajira za mtandaoni huko Nyeri

  • | Citizen TV
    135 views
    Duration: 3:22
    Wanafunzi wa vyuo vikuu na vile vya ufundi, wameshauriwa kunyakua fursa za ajira zilizoko mitandaoni kupitia elimu inayotolewa na serikali. wenzao wanaopokea masomo ya kutafuta ajira za kidijitali huko Ihururu, Tetu Kaunti ya Nyeri, kupitia program ya serikali ya Ajira wamewahimiza kutumia muda wao wa likizo kujielimisha.