Vijana washiriki tamasha la kukuza talanta Busia

  • | Citizen TV
    697 views

    Kama njia moja ya kuhakikisha kuwa vijana katika wadi ya Lugulu eneo bunge la Butula kaunti ya Busia hawashiriki vitendo potovu msimu huu wa sherehe za krismasi na mwaka mpya, tamasha la maonesho ya talanta liliandaliwa katika parokia ya kanisa katoliki ya bwaliro. Watoto, vijana na wazee walitumbuizwa kwa maonyesho mbali mbali kama anavyoeleza Jane Cherotich.