Vijana watafuta soko kupitia ufugaji wa kuku na kuanzisha kwenye mtandao huko Busia na Bungoma

  • | Citizen TV
    396 views

    Ufugaji wa kuku katika kaunti za Busia na Bungoma umepigwa jeki pakubwa baada ya kundi la vijana kuungana na kuanzisha mbinu ya kutumia mtandao kuhamasisha wakulima wa kuku ili kuboresha biashara hiyo.