Vijana watahadharishwa kuhusu matumizi mabaya

  • | Citizen TV
    205 views

    Vijana katika kaunti ya Busia wamehimizwa kijihadhari zaidi na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, huku ulimwengu ukizidi kukumbatia matumizi ya mtandao kama njia ya mawasiliano.