Skip to main content
Skip to main content

Vijana wataka kushirikishwa zaidi kwenye mdahalo wa kitaifa

  • | KBC Video
    61 views
    Duration: 2:42
    Wasiwasi kuhusu maneno ya chuku miongoni mwa viongozi wa kisiasa, ushirikishaji wa watu teule, mabishano ya kisiasa katika maeneo ya kuabudu na fursa kwa vijana kuchukua nyadhifa za uongozi, vilisheni mdahalo wa kitaifa huko Dagoreti, Nairobi. Kamuche Menza ana habari kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive