Vijana wengi wajitokeza kwenye usajili wa maafisa wa KWS kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    264 views

    Maelfu ya vijana katika kaunti ya Kajiado wamejitokeza kwenye usajili wa makurutu wa KWS unaondelea kote nchini.