Vikao vya uchunguzi wa mahakama vimeendelea leo

  • | Citizen TV
    864 views

    Vikao vya uchunguzi wa mauaji ya Rex masai wakati wa maandamano ya gen z ya juni mwaka jana vilifanyika jana mahakamani, huku aliyekuwa kamanda wa polisi kituo cha central jijini Nairobi, Dorris Mugambi akikana kuhusika kwa polisi wa kituo hicho katika mauaji ya kijana huyo.