Skip to main content
Skip to main content

Vikundi mbalimbali vyaadhimishi siku ya wanawake Bureti

  • | Citizen TV
    76 views
    Duration: 1:53
    Vikundi mbalimbali kutoka kaunti ya Kericho vilijitokeza kwa wingi eneo la Bureti kuadhimisha siku ya wanawake duniani . Kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika shule ya St. Kizitos Litein , naibu kamishna wa Bureti alisema anashirikiana na machifu na polisi ili kukomesha dhulma za kijinsia kwa wanawake nyumbani.