Vikundi vya vijana kutoka Mombasa vyaanzisha miradi ya upishi na uuzaji taka ili kujikimu kimaisha

  • | Citizen TV
    70 views

    Vikundi 13 vya vijana kutoka kaunti za Mombasa na Kwale vimewezeshwa kuanzisha biashara ndogo ili kujikimu kimaisha na kujiepusha na makundi ya kihalifu na utumizi wa mihadarati