Skip to main content
Skip to main content

Vincent Rotich ajisalimisha DCI Narok kuhusu tuhuma za uchochezi

  • | Citizen TV
    449 views
    Duration: 1:15
    Aliyekuwa mwaniaji wa kiti cha eneo bunge la Emurua Dikirr kupitia tikiti cha DCP Vincent Rotich amejiwasilisha katika ofisi za DCI mjini Narok kuhojiwa kuhusu tuhuma za uchochechezi kwa maskota waliofurushwa msitu wa Maasai Mau.