- 312 viewsDuration: 4:25Violet Gaichugi si mgeni kwa wafanyibiashara na wateja wao Katika mtaa wa donholm hapa jijini Nairobi . Violet, ambaye ana umri wa miaka 37 amekuwa tegemeo kubwa kwa wafanyibiashara wanaohitaji huduma zake kuwaletea mizigo au kuifikisha kwa wateja wao. mwanadada huyo hutumia bodaboda kufanikisha kazi yake na kujichumia riziki baada ya kuacha kazi katika sekta ya matatu. tuskilize simulizi yake kwenye makala ya leo ya mwanamke bomba