Viongozi 6 maarufu duniani waliowahi kuwekewa sumu

  • | BBC Swahili
    41,978 views
    Matukio ya watu maarufu ama wapinzani wanaopingana vikali na serikali kudaiwa kupewa sumu huvuta hisia za wengi. Hawa hapa ni watu sita mashuhuri ambao wanadaiwa kupewa sumu kutokana na misimamo yao. #bbcswahili #Upinzani #uongozi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw