Viongozi kutoka Isiolo waandaa mkutano wa amani

  • | Citizen TV
    263 views

    Mbunge wa lagdera Abdikadir Mohamed pamoja na viongozi kutoka isiolo wameandaa mkutano wa Amani kwa siku ya Tatu sasa katika eneo la kambi samaki mipaka ya bananey na garbatula ambalo limebaki mahame kwa takriban miaka 4 . mikutano hiyo inalenga kuleta pamoja jamii hizo hasimu Aidha Abdikadir amewarai wakaazi wa Pande zote kushirikiana na wanakandarasi wanaotarajiwa kuanza ujenzi wa Barbara ya lami kutoka isiolo Hadi wajir Huku akisema italeta ajira na kufungua biashara kati ya kaunti hizo.