Viongozi kutoka kaunti ya Tana River wasifia hatua ya waziri

  • | Citizen TV
    361 views

    Viongozi kutoka kaunti ya Tana River wameunga mkono hatua ya waziri wa Ardhi Alice Wahome wa kuanzisha tena mpangilio maalum wa kugawanya ardhi kwa jamii mbali mbali kutoka kaunti hiyo. Aidha, waziri wahome amefutilia mbali taarifa ya awali ya ugawanyaji ardhi hiyo kama ilivyowasilishwa kwenye gazeti ya serikali.