Viongozi kutoka kaunti za Kericho na Bomet washutumu uvamizi wa kampuni ya majani chai ya Ekaterra

  • | KBC Video
    20 views

    Viongozi kadhaa kutoka kaunti za Kericho na Bomet wameshutumu uvamizi wa kampuni ya majani chai ya Ekaterra na uteketezaji wa mashini zake za kuvuna majani chai uliofanywa na vijana.Wakiongozwa na seneta wa Kericho Aaron Cheruiyot,viongozi hao waliwahimiza vijana wakome kuzua ghasia ambazo zimetatiza uchukuzi kwenye barabara kuu ya Kericho-Nakuru kwa muda wa siku tatu sasa.Kiwanda hicho cha majani chai kimesimamisha shughuli zake kwasababu za kiusalama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #darubini