- 370 viewsDuration: 1:29Viongozi wa Mandera mashariki wanapinga kuanzishwa kwa kambi ya kijeshi kwenye ardhi ya kilomita 49 katika eneo la karo. Viongozi hao wanasema kuwa mpango huo ni tishio kwa maisha ya wafugaji wanaotumia ardhi hiyo kwa malisho ya mifugo na vyanzo vya mito. Viongozi hao wanataka tathmini ya athari za kimazingira na kijamii ifanyike na eneo mbadala kutambuliwa kwa mradi huo