Viongozi na machifu, Garissa wawalaumu wazazi

  • | Citizen TV
    130 views

    Viongozi na machifu katika kaunti ya Garissa wamewalaumu wazazi katika kaunti hiyo kwa kutelekeza majukumu yao ya ulezi na kusababisha kuongezeka kwa visa vya utovu wa usalama katika baadhi ya vijiji mjini humo.