- 310 viewsDuration: 3:10Makundi mbali mbali kaunti ya Nandi yameanzisha mchakato wa kutoa mafunzo kwa kizazi cha sasa kuhusiana na kuhifadhi matumizi ya kibuyu cha kitamaduni kinachotambulika kama Sotet. Makundi hayo yanafanya juhudi kubwa kuhakikisha kuwa matumizi ya kibuyu hicho yanaendelea ikizingatiwa kuwa baadhi ya watu wamekumbatia vyombo vya kisasa ikiwemo mitungi ya plastiki kuhifadhia maziwa.