Viongozi wa Bonde la Ufa wakiongozwa na Oscar Sudi wamtaka Gachagua aache siasa ya ukabila

  • | Citizen TV
    6,091 views

    Gachagua Afokewa Bonde La Ufa Viongozi Wa Bonde La Ufa Wamkosoa Naibu Rais Viongozi Hao Wasema Watazidi Kutembea Nchi Nzima Gachagua Alisema Wanaeneza Siasa Kusiko Maeneo Yao Gachagua Akanusha Kuwepo Kwa Mtafaruku Na Rais Gachagua: Mimi Na Rais Tunapendana Sana