- 804 viewsDuration: 2:41Viongozi wa dini wanaendelea kukashifu vikali machafuko yaliyoshuhudiwa katika kanisa la Witima kaunti ya Nyeri ambapo makumi ya watu wanadaiwa kujeruhiwa. Askofu mkuu Jackson Ole Sapit amezitaka asasi za usalama kuchunguza utumizi wa gesi ya kutoa machozi kanisani wakati wa vurugu hizo. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen ametoa onyo kwa wanasiasa dhidi ya kuzua ghasia.