16 Sep 2026 10:23 am | Citizen TV 65 views Viongozi wa dini kutoka mji wa Nyahururu katika Kaunti ya Laikipia wamefanya maombi ya pamoja ya madhehebu mbalimbali kando ya barabara kuu mjini humo na maeneo jirani, kutokana na ongezeko la ajali .