Viongozi wa dini washutumu mauaji na uharibifu katika maandamano

  • | Citizen TV
    981 views

    Viongozi wa kidini kutoka maeneo tofauti nchini wameshtumu mauaji na kujeruhiwa kwa waandamanaji siku ya Jumatano. Viongozi hao wamewataka vijana kupunguza mori na kulinda taifa kwa kuwa maandamano hayo yanasababisha hasara. Pia wamemtaka rais william ruto kuwasikiza vijana hao